http://wikiless.i2p/wiki/1965?lang=sw
S. Eliot , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1948 24 Januari - Winston Churchill , Waziri Mkuu wa Uingereza , na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1953 15 Februari - Nat King Cole , mwanamuziki kutoka Marekani 30 Machi - Philip Hench , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1950 21 Aprili - Edward Appleton , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka...